Dress your kitchen with latest appliances from us
To reach more buyers inside and out of Tanzania. Tunauza vyombo vya majumbani aina zote kwa bei ya jumla na rejareja.
BMP Pilla kitchen utensil dealers
Tunauza vyombo jumla na rejareja tukiwa na lengo kuu la kufikia wanunuzi wengi zaidi ndani na nje ya Tanzania. Ubora wa bidhaa zetu ndio siri ya mafanikio yetu.
Ubora wa Juu
Tunajali ubora wa bidhaa zetu kuliko kitu chochote, ndio maana wateja wetu wanatuchagua.
Huduma ya Uhakika
Tunatuma bidhaa mkoa wowote ndani ya Tanzania na pia nchi jirani kwa usalama na uhakika.
Tunachokifanya vizuri.
Kutoka biashara ya jumla hadi usafirishaji — tuko nawe hatua kwa hatua kuhakikisha unapata bora zaidi.
Biashara ya
Jumla
Tunatoa huduma ya jumla kwa wauzaji wadogo na migahawa mikubwa kwa bei shindani kabisa, tukihakikisha upatikanaji wa bidhaa zote kwa wakati.
Mauzo ya
Rejareja
Pata vifaa vya kisasa na bora kwa ajili ya jiko lako la nyumbani. Dress your kitchen with us today and experience the difference.
Usafirishaji
Bidhaa
Tunatuma bidhaa ndani ya Tanzania na pia nchi jirani kwa haraka, usalama mkubwa na kwa gharama nafuu zaidi.
Wasiliana nasi kwa msaada zaidi au agizo la bidhaa.
Simu / WhatsApp
+255 789 640 805
Barua Pepe
ceomrpilla@gmail.com
OFISI YETU
Tunduma main market, Tanzania